Bongolix

Browse
  • Home
  • Movies
  • Series
  • Recently Added
  • Live TV
  • TV-Shows
  • Music Videos
  • Home
  • Movies
  • Series
  • Recently Added
  • Live TV
  • TV-Shows
  • Music Videos
{{ lang.language_name }}
View Plans Create Account Login
Ad Blocker Detected
Sorry, We have detected that you have activated Ad-Blocker. Please Consider supporting us by disabling your Ad-Blocker, It helps us in maintaining this website. To View the content, Please disable adblocker and refresh the page.

Kifo cha Dondora

Kifo cha Dondora

Govi anappkea simu na kisha anakuwa na wasiwasi kuhusu matatizo nyumbani yalilojitokeza .Gazeti anapata habari za kifo cha Dondora na kugundua kuwa Bashasha ni mke wa Dondora.chupa anagundua kuwa mzee simba ndie Govi, kibita anamshauri akikutana na mwenzake wa harakishe kwenda mjini kabla matatizo

Duration : 19m
Maturity Level : all

TABASAMU

TABASAMU

Tabasamu ni filamu fupi inayosimulia maisha ya Jessica,mwanamke mcha Mungu. Licha ya maisha ya ukondakta wa daladala, ana ndoto ya kuwa mwanamziki. Baada ya kuota ndoto mbaya, Jessica anakumbana na ajali mbaya inayomfanya apoteze uwezo wa kutembea lakini, Anaponywa na kurejea kutembea tena.

Duration : 15m
Maturity Level : all

TABASAMU trailer FINAL.mp4

TABASAMU trailer FINAL.mp4

TABASAMU trailer FINAL.mp4

Duration : 1m
Maturity Level : all

Tamaa ya Maangamizi

Tamaa ya Maangamizi

Maisha ya staa maarufu yanachipuka pale kijana anapokuwa kwenye uhusiano wa siri na mke wa mtu, wakizungumza kwa hisia zinazochomoa moyo. Mume, akimsikia kupitia simu, anajawa na hasira zisizo na kipimo. Akawa hatari, akawajiri wapelelezi kumtafuta kijana huyo na kumuua, akiwa tayari kulipia.

Duration : 41m
Maturity Level : all

Nguvu ya Tamaa

Nguvu ya Tamaa

Inatokea vita, kama vita ya pili ya dunia, ila hapa kwa sasa ni vita ya mapenzi. Matroni amtaka kimapenzi mfanyakazi wake ili asiripoti kesi ya kupigana baina ya wafanyakazi wake. Maumivu ya moyo yanapunguza ufanisi wa kazi, maumivu ya moyo ndio njia ya mapenzi ya kweli, na sisi sote tunapita huko.

Duration : 25m
Maturity Level : all

Moto wa Wivu

Moto wa Wivu

Wivu warindima kazi yasimama, ni mwendo wa mtafutano, huyu akimmbiza huyu na huyu akimmbiza yule, mapenzi yataradadi na wivu kama midadi, ni nani atakaeokoa jahazi??

Duration : 25m
Maturity Level : all

Vita vya Mioyo

Vita vya Mioyo

Kazini, kijana mmoja anakuwa kitovu cha tamaa ya wasichana wawili, wakigombana kumgombania. Ushindani wao unaanza kwa maneno na kukua hadi kupigana wazi ofisini. Tukio hili linaibua wivu, shauku, na msisimko, likionyesha jinsi mahusiano ya siri na tamaa vinaweza kuvuruga kazi na maisha.

Duration : 25m
Maturity Level : all

SUPER STAR TRAILER

SUPER STAR TRAILER

Maisha ya mastaa kwenye mitandao huonekana kamili, lakini nyuma ya pazia kuna changamoto, upweke, na simulizi zisizofichika. Fungua pazia uone ukweli wa maisha yao katika Superstar.

Duration : 1m
Maturity Level : all

Kizungumkuti cha Nafsi

Kizungumkuti cha Nafsi

Kifo cha muuaji kinachomwagika siri, mdada anashikilia tamaa ya pesa huku hofu ikiibuka, na Junior anamnyemelea demu wa Kelvin, akichoma moto wa hisia, usaliti na hofu zisizotarajiwa—kila hatua ni tishio, kila uamuzi ni hatari.

Duration : 25m
Maturity Level : all

Wivu wa Mapenzi

Wivu wa Mapenzi

Wivu wa mapenzi unazidi kuvuruga kila kitu! Junior anapaswa kucheza scene yake, lakini baada ya kumuona Kelvin na Ginia wakishikana kimapenzi kunamuumiza na kumsababisha kushindwa kuigiza vizuri. Mapenzi, wivu, na migongano ya hisia vinazidi, lakini ni nani atabaki imara mwishoni?

Duration : 25m
Maturity Level : all

Siri ya Mioyo Mitatu

Siri ya Mioyo Mitatu

Baada ya mvutano mkali wa wivu uliotawala kati ya Kelvin na Junior, hatimaye wanapatana na kujaribu kuanza ukurasa mpya. Wakati hasira na huzuni zikitawala, Kelvin anaonesha ukomavu na kujali, akijitahidi kuhakikisha urafiki wao hauharibiwi kabisa na wivu wa zamani.

Duration : 25m
Maturity Level : 16_plus

Nipo Bongo Trailer

Nipo Bongo Trailer

Waliiba dhahabu… lakini sasa, wao wenyewe wamekuwa hazina inayowindwa. Wanawake watatu, ujasiri mmoja, usaliti usiotarajiwa. Dar es Salaam inawaka moto nani ataishi, nani atalipa deni lake? Majibu yote ndani ya #NipoBongoseries kuanzia NOVEMBA ndani ya @Bongolix pekee!

Duration : 2m
Maturity Level : 18_plus

Mradi wa Mioyo Miwili

Mradi wa Mioyo Miwili

Madam, mke wa Mr. Karan, anarudi akiwa mwekezaji wa filamu, baada ya kukataa awali; mumewe anawekeza mara mbili. Uamuzi wao unaleta taharuki kwa director na boss; siri za ndoa zinagongwa. Junior na Kelvin wanasitisha tofauti zao, wakifanya kazi kwa utulivu kuokoa mradi.

Duration : 25m
Maturity Level : 16_plus

Njama ya Mauaji

Njama ya Mauaji

Jambi anaingia kwa ujanja mpya, akimjaza Junior sumu ya uongo kuwa Kelvin anapanga kumuua. Hofu na mashaka vinaanza kumtawala Junior, akianza kutilia shaka urafiki wao. Wakati huo, Madam anamuweka Anna karibu na Jambi kufichua siri zake, bila kujua anacheza na moto.

Duration : 25m
Maturity Level : 16_plus

Sarafu ya Usaliti

Sarafu ya Usaliti

Katika ulimwengu ambako pesa inanunua kila kitu, hata mapenzi hayana thamani tena. Kila tabasamu lina siri, kila kumbatio lina mpango. Ginia, Anna, Junior, na Jambi wanajikuta wamenaswa kwenye mchezo wa uongo na tamaa. Mapenzi yanauzwa, uaminifu unauawa, na fedha ndiyo muuaji mkuu.

Duration : 20m
Maturity Level : 16_plus

Taa za Uongo

Taa za Uongo

Jambi afurahia mpango wake ukitimia, akitumia pesa na udanganyifu kuvunja mioyo. Kelvin anasakamwa na majuto, akitiwa moyo na Yussan kumpambania upendo uliopotea. Wakati huo, Mzee Karan anapanga mauaji kuficha siri, huku Jambi akimchezea Giva kumtenganisha Ginia na Junior, hatima inakaribia kulipuka

Duration : 20m
Maturity Level : 16_plus

Kamera na Kelele

Kamera na Kelele

Giva anamshawishi Tina kuvunja penzi la Ginia na Junior. Penina anatoka usiku na Mr. Karan bila ruhusa, akimdharau matron. Junior anashindwa kuendelea na shooting baada ya Tina kurekodi siri za usiku ule. Mchezo wa hila, wivu, na siri unazidi kuwateketeza wote.

Duration : 20m
Maturity Level : 16_plus

Usaliti wa Kambi

Usaliti wa Kambi

Baada ya mvutano kukithiri kambini, Junior afukuzwa kupitia mpango wa siri uliopangwa na Mzee Karan. Wakati Jambi akiandaliwa kumuangamiza, Penina anapoteza heshima kwa uhusiano wake na Karan baada ya kumtetea Junior. Imelda na rafiki yake wanaunda mpango wa kumuangusha Penina. Je ni nini kitatokea?

Duration : 20m
Maturity Level : 16_plus

Hatua za Hatari

Hatua za Hatari

Junior amefukuzwa kambini, lakini Penina anataka Mr Karan amrudishe kazini haraka, kwa kumtishia video zao zisienee. Mr Karan akipokea ujumbe huo, anaitisha kikao cha dharura kutaka kurudishwa kwa Junior. Wakati Tina na Yusan wanakabiliana na hisia changamano, Matron anatangaza wizi chumbani.

Duration : 21m
Maturity Level : 16_plus

Fedha na Siri

Fedha na Siri

Matron awaita wote chumbani kufuatilia pesa yake iliyopotea, na fedha zinapatikana kwa Penina. Junior anarudishwa kazini, huku Yusan akinunuliwa na Jambi kumshawishi Kelvin arudiane na Ginia. Jambi anamuua afande anayeichunguza kesi yao. Siri, pesa, uhasama na hila zimeshika moto!

Duration : 21m
Maturity Level : 16_plus

  • Previous
  • 1
  • 2
  • 3
  • Next

Download our apps

PRIVACY POLICY
TERMS AND CONDITIONS
How It Works
FAQs
About us
TESTIMONIALS
CONTACT US
© 2025

Login