Usaliti wa Kambi Baada ya mvutano kukithiri kambini, Junior afukuzwa kupitia mpango wa siri uliopangwa na Mzee Karan. Wakati Jambi akiandaliwa kumuangamiza, Penina anapoteza heshima kwa uhusiano wake na Karan baada ya kumtetea Junior. Imelda na rafiki yake wanaunda mpango wa kumuangusha Penina. Je ni nini kitatokea?