Taa za Uongo Jambi afurahia mpango wake ukitimia, akitumia pesa na udanganyifu kuvunja mioyo. Kelvin anasakamwa na majuto, akitiwa moyo na Yussan kumpambania upendo uliopotea. Wakati huo, Mzee Karan anapanga mauaji kuficha siri, huku Jambi akimchezea Giva kumtenganisha Ginia na Junior, hatima inakaribia kulipuka