Nguvu ya Tamaa Inatokea vita, kama vita ya pili ya dunia, ila hapa kwa sasa ni vita ya mapenzi. Matroni amtaka kimapenzi mfanyakazi wake ili asiripoti kesi ya kupigana baina ya wafanyakazi wake. Maumivu ya moyo yanapunguza ufanisi wa kazi, maumivu ya moyo ndio njia ya mapenzi ya kweli, na sisi sote tunapita huko.