Kamera na Kelele Giva anamshawishi Tina kuvunja penzi la Ginia na Junior. Penina anatoka usiku na Mr. Karan bila ruhusa, akimdharau matron. Junior anashindwa kuendelea na shooting baada ya Tina kurekodi siri za usiku ule. Mchezo wa hila, wivu, na siri unazidi kuwateketeza wote.