Wivu wa Mapenzi Wivu wa mapenzi unazidi kuvuruga kila kitu! Junior anapaswa kucheza scene yake, lakini baada ya kumuona Kelvin na Ginia wakishikana kimapenzi kunamuumiza na kumsababisha kushindwa kuigiza vizuri. Mapenzi, wivu, na migongano ya hisia vinazidi, lakini ni nani atabaki imara mwishoni?