Moto wa Wivu Wivu warindima kazi yasimama, ni mwendo wa mtafutano, huyu akimmbiza huyu na huyu akimmbiza yule, mapenzi yataradadi na wivu kama midadi, ni nani atakaeokoa jahazi??