Sarafu ya Usaliti Katika ulimwengu ambako pesa inanunua kila kitu, hata mapenzi hayana thamani tena. Kila tabasamu lina siri, kila kumbatio lina mpango. Ginia, Anna, Junior, na Jambi wanajikuta wamenaswa kwenye mchezo wa uongo na tamaa. Mapenzi yanauzwa, uaminifu unauawa, na fedha ndiyo muuaji mkuu.