Peponi ni filamu kuhusu Paul, kijana wa Kitanzania anayepata kazi yenye pesa na madaraka baada ya kuhangaika sana. Bosi wake, Dullah, anamwingiza kwenye ubadhirifu wa fedha na anasa, lakini polisi wanamhitaji Paul kumkamata Dullah.Paul anakabiliwa na uamuzi mgumu kati ya tamaa na wajibu.
Duration : 1h 47m Maturity Level : 18_plus
Waliiba dhahabu… lakini sasa, wao wenyewe wamekuwa hazina inayowindwa. Wanawake watatu, ujasiri mmoja, usaliti usiotarajiwa. Dar es Salaam inawaka moto nani ataishi, nani atalipa deni lake? Majibu yote ndani ya #NipoBongoseries kuanzia NOVEMBA ndani ya @Bongolix pekee!
Duration : 2m Maturity Level : 18_plus
Baada ya mvutano kukithiri kambini, Junior afukuzwa kupitia mpango wa siri uliopangwa na Mzee Karan. Wakati Jambi akiandaliwa kumuangamiza, Penina anapoteza heshima kwa uhusiano wake na Karan baada ya kumtetea Junior. Imelda na rafiki yake wanaunda mpango wa kumuangusha Penina. Je ni nini kitatokea?
Duration : 20m Maturity Level : 16_plus