Waliiba dhahabu… lakini sasa, wao wenyewe wamekuwa hazina inayowindwa. Wanawake watatu, ujasiri mmoja, usaliti usiotarajiwa. Dar es Salaam inawaka moto nani ataishi, nani atalipa deni lake? Majibu yote ndani ya Nipo Bongo series kuanzia Januari ndani ya Bongolix pekee!
Duration : 2m Maturity Level : 18_plus