Suprise ni filamu fupi inayomhusu Hawa, ambaye anakumbwa na hali ya kutatanisha baada ya kupokea simu kutoka kwa mtu asiyejulikana akidai kuwa mume wake yupo hatarini.Baada ya mtihani wa kutatanisha, Hawa anagundua ulikuwa mpango wa suprise ya siku yake ya kuzaliwa.
Duration : 18m Maturity Level : 18_plus
Bibi Twaha anajikuta akivutwa kwenye mchezo hatari wa jitu na siri za zamani zilizofichwa. Wakati dhahabu iliyoibiwa ikifuatiliwa Mikocheni, mipango ya wizi wa benki inaandaliwa kwa siri. Mapenzi na vurugu vinagongana, vikibadilisha hatima ya kila mhusika katika mji wa Bongo usio na huruma.
Duration : 23m Maturity Level : 18_plus