Mapenzi Hadaa Sehemu hii inaelezea hali ya hofu inayowakumba wahusika.Bashasha akiwa na hofu ya kulala peke yake. Dondora na Mtamu wakiwa kwenye dimwi la mapenzi unakatisha,Huku Mlasimu anapata shida na kauli za madebe, pia Govi bado akiwa anamtafuta kibita.