Missed Call Missed Call ni filamu fupi inayomuhusu Mwasi,kiumbe kutoka ulimwengu wa giza, akiwa na lengo la kutimiza misheni maalum.Kakoso na Zumba wakiwa awajui ukweli wa Mwasi, wanajikuta wakiingizwa katika mtego wa matukio ya kutatanisha.na kuathiri maisha yako na ya wale wanaowazunguka.