Hadaa ya Watumishi wa Mungu Watumishi watatu wa Mungu wanageuka kuwa watu wakutisha baada ya maombi. Mama mchungaji anamsihi Otako ashike neno la Mungu ili apone. Kaka wa dada, anayeonekana mchawi, anatumika na Malkia. Mike anashauri mtoto wa Otako kutafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa kutoa majini.